Subscribe:

Ads 468x60px

August 01, 2012

Pre-Season Tournament Kuzinduliwa Rasmi Kesho

Michuano kwa ajili ya kujiandaa na ligi msimu mpya mwezi wa 9, Pre-Season Tournament(Great8) inatarajiwa kufunguliwa rasmi kesho.
Akiongea leo, Boniface Wambura, alithibitisha hilo na kusema kuwa vilabu vyote vilihudhuria kiako jana na kuafikiana makubaliano ya ushiriki.

0 comments:

Post a Comment

Page viewers