Subscribe:

Follow Us by Email

Ads 468x60px

August 11, 2012

Ni T-Africa Dance 100%Kundi La T-Africa, Limefanikiwa kuibuka kidedea kwenye mashindano ya kucheza yaliyoandaliwa na EATV na EARadio yajulikanayo kama Dance 100% na kuibuka na mkwanja taslimu shilingi 5000,000 za Kitanzania baada ya kuwabwaga washiriki wengine wanne.
Makundi mengine yaliyofanikiwa kuingia fainali ni Best Friends, Tz-Queens, The Chocolate na F.B.I.

0 comments:

Post a Comment

Page viewers