Subscribe:

Follow Us by Email

Ads 468x60px

July 23, 2012

Tusake Rehma Za Mwezi Huu Mtukufu!

Asalaam Aleykum!
Hakika Hiki Ni Kipindi Ambacho Ndugu Zetu Wengi Wa Kiislamu Inawapasa Wawe Wanyenyekevu Sana Mbele Ya Allah(S.W) Ili Kupata Baraka Zilizo Ndani Ya Kipindi Hichi Cha Ibada Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani!
Kwa Kulitambua Hilo Basi, Uongozi Wa Blog Hii, Unapenda Kuwakumbusha Waislamu Wote Duniani, Kufanya Mambo Yanayompendeza Allah Na Kuyaacha Aliyoyakataza! Ni Kipindi Cha Kusoma Sana Quraan Tukufu Na Kushika Swala! Na Inshaallah, Allah Atawashushia Rehma Zake, Kwa Kuwa Hiki Ni Kipindi Cha Rahma, Baraka, Tawba Na Maghfira!
Tuyazingatie Haya Ndugu Zangu Na Tumuogope Mungu!
RAMADHAN MUBARAK
Asalam Aleykum!

0 comments:

Post a Comment

Page viewers