Subscribe:

Follow Us by Email

Ads 468x60px

March 01, 2012

Kanda mseto ya "TamaduniMuzik" kupatikana mtaani siku chache

 
Wanautamaduni wenzetu, tunaomba radhi kwa kutokuwa tayari kuwafikishia kandamseto zetu za Miraba Mi4, Mzimu wa Shaaban Robert na Mathematrix kwa sababu za kimaandalizi zaidi, tumegundua kuwa tunahitaji muda zaidi katika maandalizi ya kandamseto hizo, Kwa sasa tunaitambulisha kwenu kanda mseto ya Tamadunimuzik ambayo itaanza kupatikana mtaani siku chache zijazo.
Asanteni na Samahani kwa usumbufu uliojitokeza.

0 comments:

Post a Comment

Page viewers