Subscribe:

Follow Us by Email

Ads 468x60px

February 26, 2012

Ay azungumzia kolabo yake na Tyga na Young Joc

Siku nne baada ya kuthibitisha kupiga kolabo na wakali kutoka Jamaica Tanto Metro na Devonte, Ambewe Yessaya AY amethibitisha kwamba kolabo aliyoipiga mwanzo na Young Joc wa Bad Boy imemalizika, na kilichobaki ni Video tu.  

Amesema "Audio yote iko sawa, yeye ndio alianza kuirekodi kabla yangu mimi, vilevile Audio nyingine ambayo inarekodiwa sasa hivi ni ya TYGA ya Young Money ndio kolabo ambayo nina hamu nayo sana, ilikua irekodiwe mwezi huu wa february lakini imesogezwa mbele na sasa itafanyika kabla ya june mwaka huu, nikitulia naweza kuianza may na kila kitu kiko kwenye mstari"

Powered by,

0 comments:

Post a Comment

Page viewers