Subscribe:

Ads 468x60px

May 05, 2011

Shetta ft Belle 9-Nimechokwa Lyrics


Intro
DAR STAMINA BABY (ooh ooh owooo..)
Mazoea yanatabu lakini yana mwisho wake,
Mateso niliyompa yamefuta machozi yake *2

Chorus
Kweli ya leo sio ya jana onaaaaaaaaaaaaa,
A to Z maumivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Kweli ya leo sio ya jana onaaaaaaaaaaaaaa, (onaaaaaaaaa)
A TO Z maumivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Inaniuma inanichoma inanichochochoma,
Inaniuma inanichoma inanichochochoma,
Inaniuma inanichsoma inanichochochoma,
Inanichochoma mazoeaaaaaaaaaaaaaaaaa. *2

Verse 1
Sura yako inanipa picha kamili,
Bila ya vitendo tayari nimeshaitabiri,
Umekua mjasiri tena bonge la msiri,
Hata kwenye tabu hutaki tusolve wawili.

Aifanani na kiburi bali umechokwa na mimi,
Sijiulizi kwanini umalaya nimeufanya dini,
Hata mashoga zako nawinda niwavue bikini,
Mi mkauzu kama mbuzi tena mchinjia baharini.

Makosa yanajirudi na yote unayabaini,
Ushahidi mpaka sibishi jinsi ulivyo makini,
Machale mpaka nadought au unaongozwa na jini?
Mana unamkamata mwizi kabla ya cku arobaini.

Mmoja poa tu kwako si mali kitu,
Kama ngoma ni local mithili ya mchiliku,
Mpaka nahisi mafala washanipiku,
Mkuki kwa binadamu zaidi ya uchungu wa jipu.

Umekua mvivu wa kutimba mahome,
Hata kwenye sex unanigomea ku,
Drama kama filamu?
Mpaka kwenye couple kutesa kwa zam zam meeeeeeeeeeeeen!

Chorus
Kweli ya leo sio ya jana onaaaaaaaaaaaaa,
A to Z maumivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Kweli ya leo sio ya jana onaaaaaaaaaaaaaa ,(onaaaaaaaaa)
A TO Z maumivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Inaniuma inanichoma inanichochochoma,
Inaniuma inanichoma inanichochochoma,
Inaniuma inanichsoma inanichochochoma,
Inanichochoma mazoeaaaaaaaaaaaaaaaaa *2

Verse 2
Unasema nawapanga vigoli kama mswati,
Umalaya upo ndani ya damu kamwe siachi,
Please ebu nipe nafasi tudescuss,
Mapenzi ayahitaji kulipiziana visasi.

Mwepesi kunijibu hautaki,
Route zimezidi kama dereva tax,
Day after day unazidisha masharti,
Hata kiss la shavu hautaki mbele ya umati.

Natapatapa bila hata ya kukabwa koo,
Kisasi zidi ya uchokozi si punde utanitoa roho,
Seke seke unazonipa ni zaidi ya ngoma droo,
Maumivu yanafanana na hukumu ya death low.

Marumbano vita kama cuf na ccm duh!
Umenichoka mpaka nahisi npo kuzimu,
Sometime ni shetani so haina budi tumrehemu,
Lets forget about past please usinitoe damu baby!

You gat true love mpaka najiona kavu,
Nipo tayari kutubu na msahaafu,
Ruksa nikirudia unibanike kama ndafu,
Yeahhhhhhhhhh dats watsup!

Chorus
Kweli ya leo sio ya jana onaaaaaaaaaaaaa,
A to Z maumivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Kweli ya leo sio ya jana onaaaaaaaaaaaaaa, (onaaaaaaaaa)
A TO Z maumivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Inaniuma inanichoma inanichochochoma,
Inaniuma inanichoma inanichochochoma,
Inaniuma inanichsoma inanichochochoma,
Inanichochoma mazoeaaaaaaaaaaaaaaaaa.

0 comments:

Post a Comment

Page viewers