Michuano kwa ajili ya kujiandaa na ligi msimu mpya mwezi wa 9, Pre-Season Tournament(Great8) inatarajiwa kufunguliwa rasmi kesho.
Akiongea leo, Boniface Wambura, alithibitisha hilo na kusema kuwa vilabu vyote vilihudhuria kiako jana na kuafikiana makubaliano ya ushiriki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment