Mchujo wa Epiq Bongo Star Search-2012 umeendelea kwa kuzinduliwa rasmi leo jijini Dar-Es-Salaam kwenye fukwe za Coco Beach chini ya udhamini wa Zantel.
Akiongea leo, Meneja wa Benchmark Productions, Rita Paulsen alisema kuwa amefarijika sana na kuona jinsi watu wanavyojitokeza kwa wingi kwenye michakato hiyo iliyofanyika kwa mikoa takribani yote nchini.
Leo hii wamejitokeza zaidi ya watu 5000. Kuendelea tena kesho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment