Safari ya msanii maarufu wa vichekesho, filamu na muziki wa kizazi kipya Hussein Ramadhani maarufu kama Sharo Milionea, ilihitimishwa jana baada ya kuzikwa kijijini kwao Lusanga, Muheza, Tanga.
Mh. Nape Nnauye aliongoza mamia ya waombolezaji katika kumzika marehemu Sharo Milionea huku akitoa salamu za rambirambi na pole kwa mama mzazi wa marehemu, familia na watanzania wote kwa ujumla.
Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahala Pema Peponi.
Amen
rokBrothers
November 28, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment