Subscribe:

Ads 468x60px

August 07, 2012

Mwanariadha Zakia Mrisho atapeperusha bendera ya Tanzania atakimbia leo mbio za 5000m mida ya saa saba kasoro dakika tano mchana huu. Watanzania wote duniani tmuombee muwakilishi wetu
Our lovely Zakia Mrisho anakimbia leo mbio za 5000m saa sita na dakika hamsini na tano leo mchana, tunamtakia kila la kheri katika mchuano wake wa leo!

0 comments:

Post a Comment

Page viewers