Mashindano ya mitindo huru a.k.a freestyle yanayoendeshwa na Nokia maarufu kama DON'T BREAK THE BEAT, yanatarajiwa kuendelea kesho kwenye ukumbi wa San Siro, Sinza.
Huu utakuwa ni mzunguko wa pili kuchuja watu 40 waliofuzu raundi ya kwanza wiki2 zilizopita!
Nokia:Don't Break The Beat...Club Battle Round 2@ Club San Sirro @8pm-Midnight!
Don't Miss Out!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment