Subscribe:

Ads 468x60px

July 28, 2012

Nokia:Don't Break The Beat Club Battle Round 2 Photos

Mashindano ya kufreestyle Afrika mashariki yanayoendeshwa na Nokia yaiatwayo DON'T BREAK THE BEAT, yaliendelea jana kwenye ukumbi wa San Sirro, Sinza ili kupata washindi watatu kati ya 12 watakoshindana na wenzao watatu wa wiki iliyopita katika fainali Agosti 24 na hatimaye kupata washindi wawili watakaoenda kuiwakilisha Tanzania, Kenya kwenye fainali kuu.
Fainali hizo zitashirikisha washindi wawili wa kila nchi yani, Kenya , Uganda na Tanzania.
Zifuatazo ni baaddhi ya picha na matukio tofauti za shindano hilo:
Majaji Lamar, Anna Peter na Adam Mchomvu Wakifuatilia mpambano
                                          Washiriki 12 wakisubiri mchujo wa 6 bora
Mmoja wa washiriki, Athumani "Selaa" Msangi akifanya vitu vyake
                                          Kikundi cha THT kikitoa burudani

                                           Mc, B12 akiwatambulisha baadhi ya washiriki

0 comments:

Post a Comment

Page viewers