Subscribe:

Ads 468x60px

March 01, 2012

Makamua aelezea album yake mpya

Msanii Mark Paul almaarufu kama "Makamu" kwenye ukurasa wake wa facebook hivi karibuni aliandika "kiukwel napata kazi sana kuchagua hit ya kurealease koz kila track iko tofauti na inafunika nyingine n album itaitwa "beautiful melodies",itakuwa na track kama "huyu demu ni noma","side wamba ngoma","nunu unamnunia nani","africa","mimi ni wako","sina beef nawe","i dnt wanna c u cry",aisha",na kadhalika...samahanini kwa kuwacheleweshea beautiful melodies ni katika hali ya kujipanga zaidi.thx" hivi ndivyo alivyomaliza kusema Makamu. Wapenzi wa burudani tukae mkao wa kula tukitegemea vitu vikali kwenye album hii ya Makamua.

0 comments:

Post a Comment

Page viewers