Subscribe:

Ads 468x60px

February 29, 2012

MwanaFa anafanya kolabo na Man Dojo na Domo Kaya

Track Mpya ya MwanaFa Inarekodiwa muda huu kwa Maneck ambayo anawashirikisha Man Dojo na Domo Kaya.. Ay yupo pande izo akitoa sapoti kwa MwanaFA. Ngoja tuone kitakachotoka baada ya hapo.

Powered by,

0 comments:

Post a Comment

Page viewers