The Rose That Will Never Die
A rose that will never loose its petals, because I bloom all year long.
I am the rose in your Garden. I am the rose that will wither, why, because “I am God”.
My love shine in your life and my glory is a sweet, sweet spirit in all rounds.
My spirit begin peace, love, hope, joy and happiness.
I am the rose that you pick when you buy flower.
By Diana
News Department,
rokBrothers,2011.
Amani na Upendo
Upendo na amani ni nguzo kubwa duniani, unapokuwa navyo unapata furaha moyoni. Kwanza uanepusha shari, zenye kuleta hatari, sababu umejaa upendo, basi vitakupitia mbali. Utaepukana na skendo na za vichochoroni kabali, sababu we ni mtu wa watu kila kitu kitakuwa shwari.
Amini, upendo huongozana na amani, kamwe haviachani kama historia na hadithi za zamani. Cha muhimu kuzingatia, ili furaha ipate nafasi yenye kusindikizwa na matarumbeta na si milio ya risasi. Anayekukosea msamehe, ajifunze, si kulipiana visasi, hili ni wazo usilipuze, liandike kwenye karatasi likukumbushe,kama kichwani mwako imejaa nafasi. Amani na Upendo, urithi wa pekee wa kizazi hadi vizazi. One Love.
Na Khalifa
News Department
rokBrothers,2011.
0 comments:
Post a Comment