rokBrothers : Aje Bro!?
Gosby: Freshi tu ni vp!
rokBrothers: Pwax! Wel, wengi wanakufahamu kwa jina lako la kisanii la Gosby,
tungependa kufahamu jina lako halisi.
Gosby: Mh jina langu kamili ni Gosberth Kibanza.
rokBrothers: Owkay, kuhusu background ya elimu yako labda, bado unapiga
kisomo?
Gosby: Yap! Napiga I.I.T (Institute for Information Technology) now bt before, Nilipiga St. Anthony O.Level kisha nikapiga A.Level pande za Shaaban Robert.
rokBrothers: Iko poa sana! Tuzungumzie shughuli zako za muziki, project yoyote
hivi sasa?
Gosby: Ndiyo, kwa sasa naanda mixtape yangu ya pili inayoitwa Scarface ambayo
Nadhani itakuwa out next month coz bado mixing tu.
rokBrothers: Oh! So ina maana ulishatoa mixtape before? Any album?
Gosby: Yah, nilishatoa mixtape kabla ya hii na ilikua inaitwa Tumia Pesa Ikuzoee
Lakini sijatoa album hata moja!
rokBrothers: Anhaa! Project nyingine?
Gosby: Currently working on my new video inaitwa Mabegi Bila Nauli,
Niliyowashirikisha Godzilla na Young D. Na itakua out soon
Watu wakae attention.
rokBrothers: Njema pia. About doing music, kwanini unafanya muziki?
Gosby: Dah! Labda nikupe jibu moja tu kwamba napenda kuimba! Dats it.
rokBrothers: Owkay, kuna watu wanaokusupport kwa karibu kwenye muziki wako
unaofanya?
Gosby: Yeah, nawashukuru sana wazazi wangu coz wananipa support
Kubwa sana bila kuwasahau wadau wangu wengine na mafans.
rokBrothers: Mh! Labda swali la kizushi Gos, tunaona wasanii wengi wanahit kwa
track za kutungiwa, yani wanaandikiwa. Vp kwako, ni the same?
Gosby: Ah! Hapana! Mi situngiwi wala kuandikiwa na mtu yoyote. Natunga na kuandika
Mwenyewe.
rokBrothers: Ipo njema hiyo bro. kabla hatujaachana maybe kuna watu wowote
wanokuinspire kwenye muziki wako?
Gosby: Yap. Kwa hapa bongo Hasheem ananiispire sana na nje, wel. Lil’ Wayne na
Common in particular.
rokBrothers: Poa brother, ilikuwa poa sana kuongea nawe! Kila la kheri kwenye
kazi zako za kimuziki bro.
Gosby: Shukrani nawe pia kaka! Kazi njema.
0 comments:
Post a Comment